1 Kings 2:27

27Hivyo Sulemani akamwondoa Abiathari kwenye ukuhani wa Bwana, akilitimiza neno la Bwana alilokuwa amenena huko Shilo kuhusu nyumba ya Eli.

Copyright information for SwhKC